Jaro Clothing Store
Tunauza nguo aina zote kwa bei ya jumla na rejareja,Tunapatikana arusha moshono,kanisa la galilaya
17/09/2024
Karibu mzigo mpya wakisasa bei nafuu kabisa
20/08/2024
Hello bosses,
⚠️⚠️New arrival⚠️⚠️
Women Cloth, fashion za kisasa kabisa, kwa bei nafuu kabisa
Tupo Moshono Arusha,
Waweza fika dukani ama kutuma mtu.
Pia wamikoani unatumiwa kwa uaminifu mkubwa.
Tunauza kwa Rejareja lakini pia wa jumla vinaongeleka.
Waweza pia kujiunga na group letu la whatsapp kwa post zaidi
20/08/2024
Hello!!!
Karibuni sana, mzigo mpya. Mzigo mwingi.
Bei kuanzia 35,000 tuh.
Your all welcome
19/08/2024
New arrival, new cloth, quality materials
Weka order mapema, upate chako mapema
19/08/2024
Hello,
⚠️Sale⚠️Sale
Nguo za k**e za kisasa na zinazoenda na fashion kwa bei rahisi kabisa.
Jitahidi kuwahi ujipatie yako mapema.
Karibuni wote.
#0717715492
ARUSHA-A-TOWN(GENEVA OF AFRICA) MACHIMBO YA KALIAKOO
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Arusha

20/08/2024