ST Faustina Parish Kifuru
KIFURU PARISH
Tukio la kipekee na la baraka! Sanamu ya Mtakatifu Yosefu ikikabidhiwa rasmi kutoka Parokia ya Kifuru kwenda Parokia ya Kinyerezi.
Mtakatifu Yosefu, Mlinzi wa Pamoja, aendelee kuziombea na kuzilinda familia zetu zote. ๐
โ
14/09/2026
Matukio ya Picha Nadhiri za Daima.
Adhimisho la MISA TAKATIFU YA kuweka NADHIRI ZA DAIMA kwa Ndugu 6 wa Shirika la Ndugu Wadogo wa Wafransisko Wakonventuall Tanzania, (OFMConv)
Misa Takatifu hiyo Takatifu imefanyika katika ya kuweka katika Viwanja vya Parokia Teule ya King'azi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwandimishaji ni na Padri Laurian Gasper Lasway, Makamu Mhudumu Mkuu wa Shirika hilo.
Stive Kashinje
14/09/2026
ADHIMISHO LA MISA TAKATIFU YA NADHIRI ZA DAIMA - JIMBO KUU LA DAR ES SALAAM - Picha ni wakati wa Adhimisho la Misa Takatifu ya kuweka Nadhiri za Daima kwa Ndugu 6 wa Shirika la Ndugu Wadogo Wafransisko Wakonventuali Tanzania katika Viwanja vya Parokia Teule ya King'azi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam. - Misa Takatifu imeadhimishwa na Padre Laurian Gasper Lasway, Makamu Mhudumu Mkuu wa Shirika hilo.
Stive Kashinje
14/09/2026
๐๐ HERI YA SIKU YA KUZALIWA, PAPA LEO XIV! ๐๐
Kwa furaha na shukrani tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha ya Baba yetu Mtakatifu, Papa Leo XIV. โค๏ธ
Katika siku hii ya pekee, tunamuombea Mungu amjalie afya njema, hekima, nguvu na neema tele, ili aendelee kulitumikia Kanisa na kuwaongoza waamini katika njia ya Kristo.
๐ Ee Mungu, mlinde Baba yetu Mtakatifu Papa Leo XIV, umtie nguvu katika utume wake na umjaze Roho wako Mtakatifu.
๐ Heri ya siku ya kuzaliwa, Baba Mtakatifu!
โค๏ธ Ad multos annos, Papa Leo XIV! โ๏ธ
Stive Kashinje
SmartSourceElectronicstz
ST. CHARLES LWANGA PARISH ESSIEN TOWN
14/09/2026
โ๏ธ KUTUKUKA KWA MSALABA MTAKATIFU โ๏ธ
Leo tunaadhimisha kwa furaha Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba Mtakatifu.
Msalaba ni ishara ya upendo mkuu wa Kristo kwetu; ni njia ya wokovu, tumaini na uzima. Katika Msalaba tunakumbuka kuwa mateso hayakuwa mwisho, bali yalifungua njia kuelekea ushindi wa ufufuo. โค๏ธโ๏ธ
โSisi tunamhubiri Kristo aliyesulubiwaโฆโ
(1 Kor 1:23)
Katika siku hii, tumtazame Kristo msalabani kwa imani, tukijifunza kubeba misalaba yetu kwa uvumilivu, upendo na matumaini.
๐ Bwana Yesu, utufundishe kuupenda Msalaba, kuamini katika nyakati za majaribu, na kutembea katika njia ya wokovu.
Heri ya Sikukuu ya Kutukuka kwa Msalaba Mtakatifu!
Stive Kashinje
SmartSourceElectronicstz
ST. CHARLES LWANGA PARISH ESSIEN TOWN
Parokia ya MT.FAUSTINA kifuru ikiwa ina kabidhi sanamu ya Mt.yosefu parokia ya kinyerezi
Stive Kashinje
Mtakatifu Augustino
tumaini_media
Radio Maria Tanzania
09/09/2026
๐๐๐
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when ST Faustina Parish Kifuru posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
