ISHI NDOTO YAKO

ISHI NDOTO YAKO

Share

Kila mtu ana uwezo wa kuishi ndoto yake! Jiamini jikubali fanya juhudi

09/02/2022

Wanawake ni jeshi kubwa sana na tunauwezo mkubwa wa kubadilisha mambo. Acha kuzubaa, acha uoga na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

30/01/2022

Mwaka wa matengenezo huu, bila KUBADILIKA wewe mwenyewe huwezi kubadilisha chochote

30/01/2022

Mwaka wa kujijenga mwenyewe kwanza

30/01/2022

Fikiria mawazo chanya wakati wote, maana ukifikiria mafanikio utapata mafanikio, ukiwaza matatizo utakaribisha matatizo. Jiamini na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

24/10/2021

Ukitaka kufika ndoto zangu, acha hofu mana a ndio inayo ua ndoto za watu wengi. Jiamini na pambana
ISHI NDOTO YAKO #0653233373

19/06/2021

Ukigusa maisha ya watu ndio mafanikio hayo, usikate tamaa hata wewe unaweza. Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

04/06/2021

Badilisha matendo unayo fanya Kila siku k**a unataka matokeo. Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

26/05/2021

Kuna watu wanatafuta tatizo kwenye Kila suluhisho, kaa mbali nao na amka ISHI NDOTO YAKO #0653233373

21/04/2021

Jitenge na watu wanao kurudisha nyuma ili utumize malengo yako! Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

16/04/2021

Hata wewe unaweza kuwa mshindi usikubali ndoto zako zife wakati una uwezo wa kuzitimiza! Nipigie nikupe muelekeo. Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

24/03/2021

K**a unataka kuwa mjasiriamali usiangalie mtaji bali moyo ulio nao wa ujasiriamali maana unaweza pewa mtaji mkubwa na ukaangukia pua! Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

19/03/2021

Usiruhusu siku ikutawale bali wewe unapaswa kuitawala siku! Amka na ISHI NDOTO YAKO #0653233373

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ISHI NDOTO YAKO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.