AFYA na Nestory
Tunawasaidia watu kutatua changamoto ya kupunguza Uzito, uzazi kwa Wanaume na wanawake, sukari, vidonda vya tumbo, kukosa choo, ngozi nk .
Tuma ujumbe neno AFYA kwenda WhatsApp number 0744052573 au Piga Simu usaidiwe Mapema
31/01/2024
Kumuandaa mpenzi kabla ya kufanya mapenzi jambo muhimu sana na ambalo halikwepeki kabisa kwa wapendanao.
Hata hivyo, kitendo cha kumuandaa mpenzi mpaka aandalike si shughuli nyepesi sana kwani kunahitaji ufahamu, sanaa na ustadi wa hali ya juu.
Kwa kuwa hili ni jambo nyeti sana na ambalo kila moja wetu anapaswa kulielewa, mimi kungwi wenu nimeamua kuliweka katika hatua moja hadi tano k**a ifuatavyo:
Potezeni saa moja mkiwa katika maongezi ya kimahaba huku mkiwa 0 distance, yaani mkiwa mmekaribiana sana.
2. Taratibu mikono yenu ianze kutembelea kwenye mwili wa kila mmoja wenu. Hakikisha inafika kila sehemu ya mwili wa mpenzi wako, hasa sehemu zile ambazo akishikwa hulainika mapema. sehemu muhimu za kuchezea
Zaidi ya matiti, shingo na midomo (lips) na kisimi wanaume wengi hawajui ni sehemu zingine zipi ambazo wanawake huwasisimua zaidi.
Kuna sehemu zingine ambazo mwanamke akiguswa anaweza kusisimka haraka zaidi.
Tumbo, makalio, mapaja, nyuma ya shingo, mabega, mgongo, na sehemu zinginezo
Hizi sehemu ni muhimu sana kwake kuguswa wakati wa kumuandaa.
3. Kutanisheni midomo yenu mpaka pale ndimi zenu zitakapokutana na kugusana. Taratibu nyonyaneni kwa zamu.
4. Kila mmoja apenyeze mkono wake taratibu na ashike sehemu za siri za mpenzi wake kwa dakika k**a tano hivi.
5. Penyeza ulimi wako masikioni mwa mpenzi wako. Taratibu uuzungushe ulimi masikioni huku ukimpumulia hewa polepole.
6. Shika chuchu za mpenzi wako kwa ncha ya kidole chako, taratibu zifinyefinnye bila kumuumiza. Unaweza pia kutumia ncha ya ulimi wako kugongagonga hizo chuchu.
7. Mbusu/mnyonye ikuss kistaarabu usiache mimate kila mahali uwe mstaarabu pia usioneshe kwamba una kinyaa katika kumnyonya huyo ni mke wako na yeye wewe ni mwili mmoja, yeye ni wewe na wewe ni yeye, hivyo unaruhusiwa kunyonya sehemu yoyote ndiyo maana usafi ni jambo la kwanza kabisa katika mapenzi.
N.B
-Hautakiwi kuwa na haraka katika kumuandaa mpenzi wako.
-Hakikisha umeona macho ya mpenzi wako yakikuambia yako tayari kwa tendo zimaa
-Pia matendo, maneno na sauti yake idhihirishe kuwa anataka kugaragazwa au kukugaragaza sasa
Call 0744052573
Kuzingatia Ulaji Ni Mhimu Sana kwa Afya Yako...
03/02/2023
Wanaume wengi tumeishia kutokuona ubora wa wake zetu wakati wa tendo kwasababu ya ufinyu wa ufahamu kuhusu anayostahili kufanyiwa Mwanamke kabla ya tendo.
Yafuatayo unaweza kuyatumia kwa mwanamke wako ikiwa yatakusaidia basi ishi katika hayo.
1. Onyesha mapema dalili za kumhitaji kimapenzi.
Mwanaume anzia asbh kumuonyesha mkeo kuwa usiku wa siku hiyo utamhitaji kimapenzi, wanaume wengi tunafanya k**a dharura, unapanda kitandani na kuanzisha mada ya kutaka tendo, mwanamke hakujiandaa kwa hilo,
Asubuhi ukiaga ongea, ukiwa kazini chati naye (maneno ya kipuuzi) kuiweka akili yake katika uelekeo wa mapenzi.
2. Omba msamaha / Tafuta amani naye.
Ili mwanamke afunguke na akupe mapenzi ya moyoni lazima awe na amani nawe, k**a mlipishana kauli basi muhimu sana kuongea na kumaliza matatizo hayo, k**a ulimkosea basi kiri na omba radhi, hapo atakupa yote, mpaka kizazi utakigusa.
3. Mpe mahitaji yake.
Mwanaume wajibika kwa mkeo, tatua changamoto zake, k**a aliomba nguo, chakula fulani au mambo yake binafsi, basi tekeleza ili apate furaha, usimtake kimapenzi na mahitaji hujampa atahisi unajijali wewe tu, atakuwa na kinyongo.
4. Muandalie zawadi + Surprise
Pamoja na kumuandaa ajue unamhitaji usiku wa siku hiyo basi andaa zawadi yako special, unaweza kupitia dukani na kukinunua ambacho ulimsikia mara nyingi akisema anapenda kuwa nacho. Ukimpatia basi moyo wake unafunguka kwako.
5. Muandae kimwili na kisaikojia.
Hapa Mwanaume tenda mambo yanayoweza kujenga hisia zake na akafeel kupendwa, mlishe chakula, oga naye pamoja, mpake mafuta nk. Hayo yote yataamsha ashki zake na kujikuta akikupenda na kukuhitaji kimapenzi.
6. Ujuzi wa kumuandaa kabla ya tendo.
Mwanaume hata k**a hupendi kufundishwa vitu ila hii ni muhimu zaidi, fahamu unamuandaa vipi mwanamke wako kitandani awe tayari kwa tendo, muandae mpaka ifike mahali yeye kwa hiari yake aombe umpe mapenzi 😋
NB: Unaweza kufanya hayo mara 8 kwa mwezi mzima, itamarisha sana mahusiano ya mapenzi na hisia zenu.
Nashukuru kwa kusoma andiko hili, k**a una swali karibu kwenye kipengele cha comments
Karibu uendelee kujifunza masomo haya kupitia WhatsApp status bure 0744052573
Au tufollow Nestory 1
Tumia virutubisho lishe
Call 0744052573
28/07/2022
VIRUTUBISHO LISHE
NINI MAANA YA VIRUTUBISHO
Ni vitu (substance ) ambavyo hurutubisha mwili, Virutubisho hivi hupatikana kwenye vyakula vyote,
Virutubisho vya chakula vimegawanyika katika makundi Sita,
(1) 👉 Wanga
-kazi yake kubwa ni kuleta nguvu mwilini Mfano:mahindi, viazi, ngano, mchele
(2) 👉protini
Kazi yake ni kujenga mwili Mfano :nyama, mayai, maharage, njegere, maziwa,
(3) 👉Vitamini
Kazi yake kubwa ni kulinda mwili
Mfano: maembe, machungwa, nanasi, zabibu,
(4) 👉Madini Huusika sana katika kuwezesha mifumo ya mwili
Mfano: chumvi,ubuyu, dagaa, mboga mboga za kijani, (vyanzo vya baadhi ya madini)
(5) 👉Maji huwezesha mifumo mbali mbali katika mwili,
(6) 👉 Tambua kua hizo ni baadhi ya kazi za hivyo virutubisho
Ili mwili wa binadamu ufanye kazi vizuri na uweze kujilinda na magonjwa unahitaji kupata virutubisho vyote Sita ktk uwiano au kiasi sahihi, yaani lishe bora.
"kulingana na takwimu za WHO (shirika la afya duniani) lilisema 👉ili mwili wa binadamu uweze kuwa na kinga bora ya mwili dhidi ya magonjwa mbali mbali unatakiwa kila siku uwe na uwezo wa kupata matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kila siku"
Je kulingana na takwimu hizo za WHO , upo salama ?
K**a ni hapana Je, una uwezo wa kumudu gharama za matunda aina Saba na mboga mboga aina Saba kwa kila siku ?
Ushauri, matumizi ya virutubisho lishe vyenye ubora wa hali ya juu ni muhimu kwa mtu ambae hana uwezo wa kupata mlo wa matunda aina saba na mboga mboga aina saba kila siku
MADHARA YATOKANAYO NA KUKOSA LISHE BORA
👉magonjwa
👉maambukizi ya wadudu
👉uchovu
👉udhaifu wa mwili
Watoto wanaokosa lishe bora hupata matatizo ya kukua vibaya na kufanya vibaya katika masomo
"kumbuka kinga ni bora kuliko tiba" Anza leo kula matunda na mboga mboga kwa mpangilio maalum au kutumia virutubisho lishe uweze kujilinda na magonjwa na kuepuka garama za matibabu ya hospitalini
AFYA NA USHAURI BURE
VIRUTUBISHO LISHE VYENYE UBORA WA HALI YA JUU KWA AJILI YA KINGA NA TIBA YA MAGONJWA
KINGA NI BORA KULIKO TIBA
KWA USHAURI NA HUDUMA
KARIBUNI SANA
WHATSAPP,
+255 744052573Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/D1r2nwnXgmKDzhUzQj0Uxi
HILI NI GROUP LINALOHUSU AFYA TU..
KARIBU SANA UWEZE KUJIFUNZA ZAIDI NAMNA YA KUBORESHA AFYA KWA KUTUMIA VIRUTIBISHO..
15/06/2022
FAIDA ZA KUNYWA MAJI ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE
Kwanini ni muhimu kunywa maji?
Miili yetu inaundwa na asilimia 70 ya maji, hivyo ni muhimu kunywa maji ya kutosha ili kuufanya mwili kufanya kazi vyema. Iwapo mwili wako haupati maji ya kutosha, hali hii inaweza kusababisha madhara mbalimbali ya muda mfupi na muda mrefu k**a vile magonjwa ya shinikizo la damu, saratani pamoja na magonjwa ya figo.
Ninawezaje kutumia maji k**a tiba?
Unaweza kutumia maji k**a tiba ya matatizo mbalimbali kwa kufanya haya yafuatayo:
Kunywa takriban Mililita 160 za maji kabla ya kuswaki au kula chochote mara tu unapoamka.
Kunywa maji angalau dakika 30 kabla ya kula, lakini si ndani ya dakika 45 baada ya kifungua kinywa, chakula cha mchana au chakula cha jioni.
K**a huwezi kunywa angalau bilauri 4 za maji basi anza na moja kisha ongeza taratibu kadri mwili wako unavyomudu.
Karibu ufahamu faida 8 za msingi za kunywa maji kabla ya kula chochote unapoamka.
1. Huondoa sumu mwilini
Unywaji wa maji mengi husaidia kuondoa sumu mwilini kwani huwezesha viungo k**a vile figo kufanya kazi yake vyema. Unapokunywa maji kabla ya kula chochote asubuhi utauwezesha mwili wako pia kujenga misuli na kuzalisha seli mpya za damu.
2. Huboresha metaboli
Metaboli ni mchakato ambao mwilli hutumia vyakula (wanga, protini na mafuta) ili kupata nguvu na kujijenga. Hivyo basi, unywaji wa maji huwezesha mchakato huu kwenda vyema na kuufanya mwili kuwa na afya njema.
Kunywa maji kabla ya kula chochote unapoamka huufanya utumbo kuwa tayari kufyonza virutubisho. Kumbuka, maji ni muhimu kwa ajili ya watoto na watu wazima pia.
3. Husaidia kupunguza uzito
Wapo watu wanaopenda kupunguza uzito wa miili yao kwani uzito mkubwa si jambo zuri kiafya. Yakupasa kukumbuka kuwa unapoamka na kuanza kutumia vinywaji k**a vile soda na juisi (sharubati) vitachangia sana kuongeza uzito wako wa mwili.
Utafiti unaonyesha kuwa soda ina sukari gramu 35 na gramu 140 za kalori ikilinganisha na maji ambayo vyote ni sifuri. Hivyo basi, ni vyema ukapendelea kunywa maji zaidi kuliko vinywaji vingine.
4. Huondoa kiungulia na matatizo ya umeng’enyaji wa chakula
Kunywa maji kutakusaidia kuzimua asidi inayopatikana tumboni ambayo ndiyo hupelekea tatizo la kiungulia. Sanjari na hayo unywaji wa maji utarahisisha na kuhimiza mchakato mzima wa umeng’enywaji wa chakula.
Hivyo basi, k**a unakabiliwa na matatizo haya ni vyema kuzingatia unywaji wa maji kabla ya kutumia dawa mbalimbali.
5. Huboresha na kuimarisha ngozi
Utafiti unaonyesha kuwa kunywa maji takriban mililita 500 kunarahisisha mzunguko mzuri wa damu katika ngozi. Hivyo basi, hili hupelekea kuondoa sumu mbalimbali katika ngozi na kuiacha ngozi yako katika hali nzuri kiafya.
6. Huhamasisha ukuaji wa nywele bora zenye afya
Upungufu wa maji mwilini una madhara makubwa sana kwa afya yako. Utafiti unaonyesha kuwa ¼ ya uzito wa nywele zako ni maji. Hivyo kutokunywa maji yakutosha kutakufanya kuwa na ukuaji duni wa nywele; pia kutafanya nywele zako kuwa dhaifu.
Kwa ajili ya afya na mwonekano bora wa nywele zako jidahidi kunywa maji yakutosha hasa unapoamka asubuhi.
7. Huzuia mawe kwenye figo
Unywaji wa maji huzimua asidi inayosababisha mawe kwenye figo ambayo hupatikana tumboni. Unywaji wa maji ya kutosha kutakuepusha kwa kiasi kikubwa na matatizo ya figo. Ili kurahisisha utendaji kazi wa figo zako pamoja na afya yake, zingatia kunywa maji ya kutosha hasa asubuhi.
8. Huongeza kinga ya mwili
Kujijenga kwa kinga mwili hutegemea sana maji katika mwili wako. Hivyo ni vyema kuhakikisha unaongeza kinga ya wili wako kwa kunywa maji ya kutosha hasa kabla ya kula kitu chochote.
Neno la mwisho
Ninakuhimiza kujenga utamaduni wa kujali na kulinda afya yako ili uweze kuwa mtu mwenye mafanikio zaidi. Tumeona swala la unywaji wa maji lilivyo na umuhimu; swala hili ni wewe kuamua tu kulifanyia kazi kwani halina gharama yoyote.
Je wewe huwa unakunywa maji? Kiasi gani na saa ngapi? Tupe maoni yako kisha washirikishe wengine makala hii. Karibu pia ulike ukurasa wetu wa Facebook ili kufahamu mengi zaidi.
11/06/2022
ZIJUE FAIDA ZA KUFANYA MAZOEZI KILA SIKU. .
🏻🏋🏻
Mazoezi ya viungo ni muhimu sana kwa afya yako,kuna namna mbalimbali za kufanya mazoezi, Unaweza kufanya mazoezi ya viungo fulani vya mwili wako k**a miguu,mikono, mgongo.
Lakini pia kuna mazoezi ambayo ukifanya utakuwa umefanya zoezi lilojumuisha kiungo zaidi ya kimoja mfano:-mazoezi ya kukimbia, kuruka kamba na mengineyo.
Licha ya kuwa unaweza kutumia muda kidogo kufanya mazoezi kwa takribani dakika (30-45) kwa siku iwe asubuhi au jioni lakini pia unaweza kupata faida nyingi za kiafya kwa kufanya mazoezi hayo.
Kwa kuwa kuna faida nyingi za kufanya mazoezi basi leo nimeona nikupatie hizi chache kwa manufaa na ufahamu wa afya yako.
Mazoezi hukufanya uchangamke na kuwa shupavu.
Mazoezi huboresha ufahamu wako uwezo wa kuelewa na kufikiri mambo katika mazingira yanayokuzunguka.
Mazoezi huboresha uwezo wako wa kuhifadhi kumbukumbu.
Mazoezi husaidia kupunguza msongo wa mawazo.
Mazoezi huimarisha moyo hivyo hukuepusha na maradhi mengi yatokanayo na mapigo mabaya ya moyo.
Mazoezi humfanya mtu ajiamini.
Mazoezi hupasha mwili joto hivyo husaidia kuzuia baridi.
Mazoezi husaidia kuweka sawa kiwango cha cholesterol au mafuta yaliyopo mwilini.
Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata ugonjwa wa kisukari.
Mazoezi hushusha kupanda kwa shinikizo la damu. (high blood pressure).
Mazoezi hupunguza uwezekano wa mtu kupata baadhi ya maradhi ya saratani.
Mazoezi humsaidia mtu kuondokana na baadhi ya matatizo ya akili.
Mazoezi huboresha hamu ya mtu kuweza kula.
Mazoezi hupunguza uzito wa ziada wa mwili na kufanya mwili wako kuwa mwepesi.
Mpendwa msomaji hizi ni baadhi ya faida za kufanya mazoezi, yote ya yote mazoezi hurefusha maisha kwa kukufanya uwe mwenye afya njema.
Ni vyema ukajiuliza, hivi ni kweli ukifanya mazoezi na kula vyakula bora kunaweza kuboresha maisha yako?
Jibu ni ndiyo mazoezi na vyakula ni dawa pekee ya kutibu au kukuepusha na magonjwa mengi yanayoweza kuzuilika.
Fanya mazoezi kuimarisha afya yako!
01/06/2022
Katika safari yeyote ile ya mahusiano ya kimapenzi baina ya mwanamke na mwanaume yapo mambo mbalimbali yanapaswa kuzingatiwa ili kufanya mahusiano hayo yaweze kudumu, na miongoni mwa vitu vitakavyofanya mapenzi yadumu ni pamoja na kuwako kwa tabia ambazo zitakazowasaidia wapenzi hao waweze kuelewana.
Mwanamke humpenda mwanaume mwenye kujali na kuheshimu hisia za mwanamke.
Endapo utapata mwanaume mwenye kujali hisia zako za kimapenzi basi huyo ndiye mwanaume sahihi kwako, kwani hukuna kitu kizuri k**a kuwa kwenye mahusiano na mtu anajali hisia zako na si kuziumiza.
Mwanaume mwenye akili za utafutaji wa maisha.
Katika ulimwengu wa mahusiano hakuna kitu kizuri k**a kumpata mwanaume mwenye akili timamu za utafutaji na upambanaji wa maisha, hivyo kila wakati ewe mdada mwenye uchu wa ndoa k**a utaka mwanaume sahihi kwako basi unatakiwa kuhakimisha unashughurika na mwanaume mwenye akili za utafutaji wa kimaisha na si vinginevyo.
Mwenye kujua mwanamke anataka nini haswa.
Unajua wapo wanaume ambao ni mahili sana wa kusema fulani nakupenda sana, ila ukweli ukiwachunguza watu hao huongozwa na tamaa tu, kwani wapo wanaume wachache sana ambao wanaojua kiundani kuwa mwanamke anataka nini haswa. Ngoja nikuibie siri ewe mwanaume unayesmoama makala haya, mwanamke anahitaji kuona unamjali ili awe na amani ya moyo.
Mwanaume ambaye anathamimi na kumjali msichana.
Jambo ambalo mwanamke anahitaji kutoka kwa mpenzi wake ni upendo na kujaliwa, mwanamke mwenye hisia thabiti anapenda kuona mwanaume wake anamjali na kumpenda kila wakati na hivyo kila wakati wanaume wanashuriwa kuwajali wapenzi wako kadri wawezavyo.
Mwanaume mwenye kukujulia hali kila wakati.
Asikwambie mtu mapenzi ya kweli ni uzao utokanao na mawasiliano thabiti baina ya wapenzi hao, hivyo mwanamke hupenda mawasilino mazuri kutoka kwa mume wake, hivyo ewe mwanaume kila wakati unatakiwa kumjali mwenza wako kwa kuongeza mawasiliano kwani hii ndiyo njia pekee ya kuonesha ujali hatiamaye muweze kusumu katika mahussssianao yenu.
Mwanaume mwenye kujali ndugu na jamaa na marafiki wako wa karibu.
Kila mwanamke anapenda kuona mbali na kuonesha upendo wako kwake pia napenda kuona unajali watu ambao wanamzunguka pia. Watu k**a wazazi, ndugu na marafiki unatakiwa kuonesha upendo wako kwao pia hii itawafanya watu hao waone kuwa unafaa sana.
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when AFYA na Nestory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
Subscribe
We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.