Dynamite Beauty and Cosmetics
Authentic Skin care Products from UK, KOREA, USA and German. We provide an honest scientific approach to Beauty. Glow, smell rich and appear confident!
Keeping our skin glowing by optimizing hydration, barrier function and cell turnover.
Haya mliotumia semeni wenyewe…..hii ni 🔥👌
Ngozi inanyooshwa vizuri, rangi je? Lovelies ngozi ipe hii! Utafurahia…
Price 150,000
Salasala Mbuyuni pembeni ya Puma Petro station
💧 TORRIDEN DIVE IN LOW MOLECULAR HYALURONIC ACID SOOTHING CREAM
Moisturizer ya gel yenye 5D Low Molecular Hyaluronic Acid inayosaidia kuongeza unyevu wa ngozi, kuifanya iwe soft, plump na yenye fresh, dewy finish bila kuhisi nzito. Pia husaidia kutuliza ngozi yenye irritation, redness au joto.
✨ Ingredients muhimu & kazi zake
• 5D Hyaluronic Acid – huongeza hydration na kusaidia ngozi kuhifadhi unyevu.
• Panthenol – husaidia kuongeza na kudumisha unyevu pamoja na kutuliza ngozi.
• Allantoin – hutuliza ngozi iliyokereka na kusaidia kupunguza sensitivity.
• Blue Complex – husaidia kulainisha na kutuliza ngozi.
💙 Faida kwa ngozi
• Hutoa hydration na kusaidia ngozi kubaki na unyevu.
• Hutuliza ngozi yenye irritation na redness.
• Hutoa cooling effect kwa ngozi inayohisi joto.
• Texture ya gel ni lightweight na fresh, bila kuhisi nzito.
• Inafaa kwa normal, combination na sensitive skin.
💰 BEI: TSh 65,000
📍 Salasala Mbuyuni, karibu na Puma Petrol Station
📞 For consultation: 0789310407
📲 ORDER / DELIVERY: 0761588188
30/09/2026
Chagua kuitumia usiku….unaaga madoa Sweetheart!
🌙 NOHOOH UNIFYING ANTI-DARK SPOT NIGHT CREAM
Cream ya usiku iliyoundwa kusaidia kupunguza mwonekano wa dark spots na hyperpigmentation, kusawazisha skin tone na kuifanya ngozi ionekane brighter na smoother.
✨ Ingredients muhimu
-.Niacinamide (Vitamin B3) — husaidia kupunguza dark spots, kusawazisha skin tone, kudhibiti excess sebum na kuimarisha skin barrier. Pia ina antioxidant na anti-aging benefits.
-.Caprylic/Capric Triglyceride — husaidia kulainisha ngozi na kuipa unyevu.
🤍 Faida zake
• Husaidia kupunguza madoa meusi na hyperpigmentation
• Husaidia kufifisha mwonekano wa post-acne marks
• Husaidia kusawazisha skin tone kwa complexion iliyo even zaidi
• Husaidia kulainisha na kudumisha unyevu wa ngozi
• Husaidia kutunza skin barrier na kutoa anti-aging benefits
• Haina hydroquinone
💰 Bei: TSh 95,000
📍 Salasala Mbuyuni, karibu na Puma Petrol Station
📞 For consultation: 0789310407
📲 ORDER / DELIVERY: 0761588188
You won’t wait longer for the right products to give you sign kuwa upo kwenye right direction! Thank you for your feedbacks!
Salasala Mbuyuni pembeni ya Puma Petro station
0789310407
Kuna mambo yapo beyond human capacities…handle them over to your CREATOR! Siyo kawaida kila wakati wapoteza pesa kwenye eneo ambalo unalipenda sana ( skin care) lakini haijawahi kukupatia furaha unayotaka!
K**a umenielewa then unajua cha kufanya!🤗
30/09/2026
ANUA HEARTLEAF QUERCETINOL™️ PORE DEEP CLEANSING FOAM 🌿
Face wash yenye Heartleaf + BHA inayosaidia kusafisha ngozi kwa kina, kuondoa uchafu na mafuta ya ziada kwenye pores huku ikisaidia kutuliza ngozi inayowasha na kuacha ngozi ikiwa na unyevu.
Ingredients muhimu & kazi zake:
-Heartleaf (Houttuynia Cordata) husaidia kutuliza na kutunza ngozi inayowasha.
-BHA – husaidia kuondoa seli zilizokufa na uchafu unaoziba pores.
-Quercetin – antioxidant inayosaidia kulinda ngozi.
-Hyaluronic Acid – husaidia kuongeza na kuhifadhi unyevu kwenye ngozi.
Faida zake:
• Husafisha pores kwa kina na kuondoa mafuta pamoja na uchafu.
• Husaidia kupunguza kuziba kwa pores na kutunza ngozi yenye chunusi.
• Hutuliza ngozi inayowasha na kusaidia kupunguza usumbufu wa ngozi.
• Huacha ngozi ikiwa na unyevu, laini na safi baada ya kuosha.
💰 Bei: TSh 55,000
📍 Salasala Mbuyuni, karibu na Puma Petrol Station
📞 For consultation: 0789310407
📲 ORDER / DELIVERY: 0761588188
30/09/2026
SMOOTHING + COCONUT COFFEE SCRUB & WASH
Body scrub & wash yenye Arabica Coffee na Coconut Oil, iliyotengenezwa kusaidia kusafisha, kuscrub na kulainisha ngozi huku ikiipa unyevu.
Ingredients na kazi zake:
-Arabica Coffee – husaidia kuondoa seli zilizokufa na kuacha ngozi ikiwa smooth na yenye mwonekano fresh.
-Coconut Oil – husaidia kulainisha ngozi na kuhifadhi unyevu, hivyo kuifanya iwe soft na supple.
Faida zake:
• Husaidia kuondoa dead skin cells na kufanya ngozi iwe laini.
• Husaidia kuongeza hydration na kupunguza ukavu wa ngozi.
• Huacha ngozi ikiwa smooth, soft na supple.
• Ina harufu ya fresh coffee.
• Sulfate Free.
BEI: TSh 75,000
📍 Salasala Mbuyuni, karibu na Puma Petrol Station
📞 For consultation: 0789310407
📲 ORDER / DELIVERY: 0761588188
K**a kupitia skin products naweza kugusa maisha ya mtu mmoja akafurahi tena Urembo wake wa asili, basi ombi langu kwa Mungu…anikutanishe na wewe pia🙏
Namshukuru Mungu kwa ajili ya msichana Huyu mrembo! May your healing be permanent…Amen.
0789310407
Salasala Mbuyuni pembeni ya Puma Petro station
Hey Lovelies…zingatia hili!
Am happy to assist you🤗
0789310407
Salasala Mbuyuni pembeni ya Puma Petro station
29/09/2026
Muhimu kujua ngozi inahitaji nini?! Huyu aliniambia yupo sehemu yenye upepo, hewa kavu na maji ya chumvi!
Ngozi yake hukauka na kukosa Nuru…Hii package imemtendea vyema sana! Unajua sababu!? Imebeba hero ingredients za kuweka unyevu wa hadi saa 48 huku iking’arisha ngozi yake! Ukipiga bingo K**a hivi, yaani ngozi imepokea vizuri products, tulia dear!
Salasala Mbuyuni pembeni ya Puma Petro station
0789310407
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dynamite Beauty and Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
