FeFe Wellness Clinic

FeFe Wellness Clinic

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from FeFe Wellness Clinic, Health/Beauty, Tabata Baracuda, Uwanjani, Dar es Salaam.

✔️Certified Aesthician - Bangkok 🇹🇭
✔️Customized skincare treatment
✔️Facial • BB glow • Micropigmentation
✔️Dermabrasion & Chemical peel.
✔️No free consultation.

14/10/2026

Umri wa miaka 52, kutoka kilo 88 hadi kilo 82 hatua nzuri ya kuanza safari ya afya na uzito unaolengwa.

Kila safari ni ya kipekee. Pata ushauri wa kitaalamu na mpango unaoendana na mahitaji yako, pamoja na ufuatiliaji wa maendeleo yako.

Ungependa kuanza safari yako? Tuma neno POSH kwenye DM au WhatsApp.

Matokeo hutofautiana kati ya mtu na mtu. Ushauri na ufuatiliaji wa kitaalamu ni muhimu.

13/10/2026

Unapenda kupunguza mafuta kwenye maeneo yanayokusumbua?

Fat dissolving injection inaweza kuwa chaguo baada ya tathmini ya kitaalamu. Matokeo hutofautiana kulingana na mwili wa kila mtu, hivyo consultation ni muhimu kabla ya matibabu.

📩 Wasiliana nasi kuweka appointment ya tathmini.

13/10/2026

Behind every smile, every service, and every moment of care is a team that gives their best.

We’re proud of the passionate and dedicated people who make Fefe Clinic feel like home. Together, we’re committed to caring for you with kindness, professionalism, and heart.

Meet the team behind your care.

Uniform scrubs,embroidery,labcoats,totebags,stethoscopes,underscrubs etc

12/10/2026

Happy New Week…🤍


Video Lifewithdettu ♡| Lifestyle brand

10/10/2026
09/10/2026

Je? Tumempa ushauri sahihi k**a unahisi tumekosea au kuna kitu cha kuongezea tuambie kwenye “COMMENT”

09/10/2026

Book for Body assessment!

08/10/2026

Ready to work on stubborn back fat?

Body sculpting treatments can help target areas that feel difficult to change with lifestyle alone. Your treatment plan is personalized after a consultation and assessment.

Book your consultation with Fefe Clinic and let’s discuss your goals.

08/10/2026

Glow Time!

08/10/2026

Ngozi yako imechoka au inaonekana haina mng’ao?

Enzyme Facial husaidia kuondoa seli zilizokufa kwa upole na kuacha ngozi ikiwa laini na yenye mwonekano fresh. Matibabu huchaguliwa kulingana na aina na mahitaji ya ngozi yako.

Weka nafasi yako Fefe Clinic
📩 Tuma ujumbe WhatsApp kwa booking.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Tabata Baracuda, Uwanjani
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FeFe Wellness Clinic posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.