Dogo si haba
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dogo si haba, Health/Beauty, Nairobi.
18/05/2024
Unahanya then ukipatikana, , , 🤣🤣unafinywa🙄🙄
15/05/2024
Najua umekua ukirusha hizi maganda za viazi kila unapo taka kupika ila leo niko na good news usitupe tena...Chukua maganda, weka kwa maji baridi usiku mzima ili yawe line, ukiamka chukua weka vijiko mbili za Chumvi, kijiko moja ya sukari na lemon juice 500Ml changanya vizuri halafu nenda Anika kwa jua k**a masaa sita ivi, after yashakauka nenda na paper bag weka maganda ndani funga vizuri na usubiri k**a dakika kumi nenda tupa kwa dustbin coz sjui unajaribu kutengeneza nn hio ni Takataka☺😅
15/05/2024
Leo nikiwa natoka job (ile ya kawaida tu🦺⛑️)😂 niliamua kwamba hii 40 Niko nayo, acha nipite hotelini atleast nikunywe chai vikombe 2. kikombe moja for 1 good hour😂 na ingine 1hour😂 alafu nisugue meno na toothpick for 30 mins😂, nijisearch mifuko 10mins kutafta doo😂, ninawe 10mins🙆, nifake call 10mins😂 ndo atleast nitumie WIFI kiasi😂(sema akili).
Kufika kwa mlango, niliuliza "🗣️🎤password ya WiFi ni gani?" Dem mmoja akaniambia "kula kwanza" 😥 then nikasema " niletee chai basi 🙆" hiyo Dem akaniletea chai nikamuuliza tena " ulisema password ya WiFi ni gani? tena akaniambia "kula kwanza😥"
After nimemaliza kikombe cha kwanza, nikaitisha ingine 🔥 yule yule tena akaniletea. kumuuliza password alinijibu "kula kwanza" 😥 eweeeeh kumaliza ya pili nikamuuliza password tena akamwambia kula kwanza 😥..... Nilijam nikamwekelea teke Moja knockout ya mudwi akafeint😂😂😂😂
Saii niko huku police station 😥 nimesearchiwa na wakachukua Ile 40 bob😭 then naskia password ilikuwa ni "kulakwanza" in small letters🙆 wanangoja huyo waitress afeintuke aone venye napigwa follow my page for more stories Dogo si haba
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nairobi
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dogo si haba posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
