mdee_health_solution
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from mdee_health_solution, Health/Beauty, Dar es Salaam.
04/12/2025
*Fertility tea* (chai ya uzazi) husaidia sana kwenye uzazi wa mwanamke kwa njia mbalimbali za asili. Hii hapa ni orodha ya faida zake kuu:
1. *Kusafisha mji wa mimba (uterus)* – Husaidia kuondoa sumu na mabaki ambayo yanaweza kuzuia upatikanaji wa mimba.
2. *Kurekebisha homoni* – Baadhi ya mimea kwenye fertility tea k**a *vitex* au *red raspberry leaf* husaidia kurudisha usawa wa homoni k**a estrogen na progesterone.
3. *Kusaidia kuimarisha mzunguko wa hedhi* – Hii ni muhimu kwa mwanamke anayejitahidi kupata mimba, kwani mzunguko wa kawaida huongeza nafasi ya mimba kutunga.
4. *Kuongeza ovulation (utoaji wa yai)* – Husaidia kuchochea ovari kutoa mayai yenye afya, jambo muhimu sana kwa urutubishaji.
5. *Kuimarisha uterine lining* – Baadhi ya virutubisho ndani ya fertility tea huimarisha ukuta wa mji wa mimba, ili upokee kijusi vizuri.
6. *Kupunguza msongo wa mawazo (stress)* – Mimea k**a *chamomile* au *lemon balm* iliyopo kwenye baadhi ya fertility teas husaidia kumtuliza mwanamke kisaikolojia, hali inayoweza kuathiri uwezo wa kupata mimba.
7. *Kuongeza kiwango cha damu safi katika mfumo wa uzazi* – Hii inasaidia uterasi na ovari kufanya kazi vizuri zaidi.
Wasiliana Nami 0652491204
SAHAU KABISA KUHUSU NGUVU ZA KIUME ENDAPO.....
16/01/2024
Kuishi bila P.I.D inawezekana
10/01/2024
*DALILI ZA KUWA NA MKE MKAVU*
👉 Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa.
👉Kutokwa na damu baada/wakati wa tendo la ndoa.
👉 Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
👉 Maumivu ya kiuno, mgongo na tumbo chini ya kitovu.
👉 Siku za hedhi kutokuwa na mpangilio
👉 Kutofurahia tendo la ndoa.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when mdee_health_solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
