Double H Cosmetics

Double H Cosmetics

Share

Sellers of quality and original cosmetics in a reasonable prices. Major Distributor PORTIA M products
Your beauty is our biggest concern. Stay cute

08/08/2026

Heri ya Siku ya Nane Nane!

Leo tunatambua na kuthamini juhudi, bidii na mchango wa wakulima katika kukuza uchumi na kuhakikisha tunapata chakula kila siku.

🌱Kwa kila mkulima, kazi yako ina thamani na mchango wako ni muhimu kwa taifa letu.

✳️Tusherehekee pamoja juhudi za wakulima wetu, share ujumbe huu!

06/08/2026

Fanya ngozi yako kuwa nyororo na yenye kung'aa kwa kutumia Naomi Shower Scrub Gel

✅Inasaidia kusafisha ngozi kwa kina, kuondoa seli zilizokufa na kukuachia muonekano wa kuvutia.

💰Inapatikana kwa Tsh20,000/= tu

📍Agiza sasa ujipatie yako leo

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

06/08/2026

Ngozi safi na yenye unyevunyevu huanza na utunzaji sahihi.

✨ Tumia Portia M Pomegranate Body Scrub kuondoa seli zilizokufa, kisha malizia na Body Lotion kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu wa muda mrefu.

📍Bei zake
💰 Body Lotion: 25,000 TZS
💰 Body Scrub: 18,000 TZS

Agiza sasa ujipatie bidhaa yako pendwa

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

05/08/2026

Ngozi yako inastahili kilicho bora!

✅ Pata lotion, body butter, mafuta na sabuni za Harleen M kutoka Double H Cosmetics kwa ajili ya kung'aa na kulinda asili ya ngozi yako.

📍 Fika dukani kwetu leo tukuhudumie!

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

04/08/2026

Anzisha siku yako kwa nishati safi na harufu nzuri itakayokupa hamasa siku nzima! 🚿✨

📍Chagua Adidas Shower Gel inayokupa burudani ya kipekee wakati wa kuoga huku ikitunza ngozi yako vizuri.

💰Inapatikana kwa bei safi kabisa ya Tsh 10,000/= tu!

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

04/08/2026

Karibuni sana dukani kwetu Double H Cosmetics kwa ajili ya kupata bidhaa bora zitakazofanya ngozi yako kuwa ya kipekee na yenye afya njema!

👇Tunakuletea bidhaa matata za HarLeen M
✳️HarLeen M Pomegranate Seed Oil – Tsh 28,000/= (Inalainisha na kuondoa michirizi).

✳️HarLeen M Moisturising Lotion – Tsh 25,000/= (Inazuia ukavu na kutunza ngozi

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

03/08/2026

Bado unajiuliza k**a mwenye ngozi ya mafuta unaruhusiwa kupaka moisturizer?

✅Jibu ni Ndiyo! Ukikosa unyevu sahihi, ngozi yako inajilinda kwa kuzalisha mafuta zaidi na kusababisha chunusi na mng'ao mbaya.

✳️Paka moisturizer yako asubuhi na usiku kabla ya kulala ili uwe na ngozi yenye afya na muonekano wa kuvutia!

👆Usiache kutufollow kwa tips zaidi za urembo na masuala ya ngozi

01/08/2026

Mwezi huu wa Agosti ukawe wa fursa za kipekee kwako za kuleta mabadiliko!

✨ Hapa Double H Cosmetics tunajivunia kuwa sehemu ya safari yako ya urembo na kujiamini. Jiandae kung'aa zaidi, kupendeza zaidi, na kuacha alama kila uendako mwezi huu.

👉Weka oda yako leo au fika dukani kwetu ujipatie bidhaa zetu bora zitakazokupa nuru ya kipekee.

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

01/08/2026

Boresha muonekano na usafi wako wa kila siku na Belux The One (Shampoo and Shower Gel) maalum kwa ajili ya mwanaume anayejijali! 🧔✨

✳️Inakupa urahisi wa kutumia sabuni ya kuogea na shampoo kwa wakati mmoja, ikikuacha na harufu nzuri ya kiume na safi inayodumu siku nzote.

📍Inapatikana hapa Double H Cosmetics kwa bei nafuu kabisa

📌Wasiliana nasi kwa
📞+255 753 790 790 Sinza Kumekucha
📞+255 752 000 039 Makumbusho

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Sinza Kumekucha
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Double H Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.