rosle_naturalessence

rosle_naturalessence

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from rosle_naturalessence, Beauty, cosmetic & personal care, Dar es Salaam.

07/07/2026
Photos from rosle_naturalessence's post 19/06/2026
29/05/2026

Sitawaangusha as always my dearest customers!

Karibu sana

Trust me, Kwetu ni kuglow tuu😊

05/05/2026

Bei Za bidhaa zetu Hizi hapa!
Karibu tukuhudumie 🙏🏼

07/02/2026

❗️TAARIFA MUHIMU❗️

Hello dear, Happy new month…

✨Tunapenda kukujulisha kuwa kuanzia tarehe 01/02/2026, bei mpya za bidhaa zetu za zimeanza kutumika, k**a tulivyotangaza awali.
✨Mabadiliko haya yamefanyika ili kuendelea kuhakikisha tunatoa bidhaa zenye ubora wa hali ya juu, salama na zenye matokeo bora.
✨Tunakushukuru kwa kutuelewa na kuendelea kutuunga mkono.

Karibu sana🙏🏼🙏🏼.

03/02/2026

Have a blessed month 🫶🏼

27/01/2026

✨BODY BUTTER✨

💚Ni mafuta mazito ya mwilini yenye mchanganyiko wa mafuta asilia k**a shea butter, cocoa butter au mafuta asili ya mimea.💚

FAIDA ZAKE KWENYE NGOZI:

💥 Hulainisha ngozi kwa muda mrefu
-Husaidia kuhifadhi unyevu (moisture) kwenye ngozi kuliko lotion za kawaida.

💥 Hutibu ngozi kavu na inayopasuka
-Inafaa sana kwa maeneo k**a visigino, magoti, viwiko na mikono.

💥 Huboresha afya ya ngozi
-Ina vitamini (hasa A, E na F) zinazosaidia kurekebisha ngozi na kuifanya iwe laini na yenye afya.

💥 Husaidia ngozi kung’aa (natural glow)
-Matumizi ya mara kwa mara hufanya ngozi ionekane yenye uhai na laini.

💥 Hupunguza muwasho na ukavu
-Inasaidia ngozi sensitive au inayowasha, hasa baada ya kuoga.
💥Husaidia kuondoa pumu ya ngozi (eczema) na rashes mwilini

💥 Husaidia kufifisha alama za michirizi (stretch marks)
-Inapotumika mara kwa mara, hasa wakati wa ujauzito au kuongezeka/kupungua uzito.

💥 Hulinda ngozi dhidi ya hali mbaya ya hewa
Husaidia kuzuia ngozi kukauka wakati wa baridi au upepo
(K**a unaishi mikoa ya baridi hii usikose kabisa)

💥Husaidia kupona haraka endapo utajikata,kuungua au kuumwa na wadudu

💥Hulainisha nywele,huimarisha sana nywele na kusaidia zisikatike unapochana na kuzijaza sana

✨Price ; 25,000/=

✨Tunapatikana Mwenge ITV Karibu na Nakiete pharmacy

Call / WhatsApp : 0716047614 / 0685179475


✨Lets glow naturally!

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address


Dar Es Salaam