Mafeherbs

Mafeherbs

Share

Yoni, slim, herbs

08/06/2026

Boric acid vaginal suppositories

Rejareja: 30,000
Jumla
25,000 kuanzia 5
20,000 kuanzia 10 na kuendelea

🌸 inasaidia kuondoa ukavu ukeni
🌸 inasaidia kusafisha uke
🌸 inabalance PH
🌸 ni antbacteria, inaondoa infections k**a fangas na bacteria
🌸 inaondoa harufu mbaya ukeni( sana sana baada ya period)
🌸inazuia miwasho
🌸 inaongeza ute

Jinsi ya kutumia
Unapachika kidonge kimoja ukeni usiku wakati wa kulala

Zipo vidonge 30

Contact: +255754943471

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B1st-01

06/06/2026

Immune booster tea

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea

🌸inaongeza uwezo wa mwili wa kupinga uvamizi wa nje na kudumisha utulivu wa mazingira katika mwili
🌸 inasaidia pia kusafisha damu mwilini (blood purification)
🌸insaidia kuondoa matatizo ya mfumo wa upumuaji na infections nyingine

Zipo teabag 20

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01

06/06/2026

Hair growth tea
(Chai ya kukuza nywele)

Bei: 20,000

🌸inasaidia kukuza nywele
🌸 inasaidia kuzuia nywele kukatika na kupukutika
🌸 inasidia kuipa nywele afya
🌸 inasaidia kuongeza unyevu kwenye nywele
🌸 inasaidia kuzuia uharibifu wa nywele kutokana na kemikali

Jinsi ya kutumia
🌸tumia tea bag 3-4 kila siku kwa week 1-2 za mwanzoni baada ya hapo unaweza punguza
🌸 tumia 1-2 tea bags kwenye maji ya moto kunywa k**a chai
🌸 tumia tea bag nyingi kwa stronger tea (chai nzuri zaidi)
🌸 tea bags unaweza rudia kuzitumia hadi zitakapochuja kabisa ila tumia kwa siku moja
🌸 unaweza ongezea asali, ndimu au fresh mint kuongeza radha

Angalizo:
Asitumie mjamzito au mama anayenyonyesha au mtoto chini ya miaka 14

Contact: +255754943471

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B10

hairgrowthtips nywelezetu nywelezamkono nywelezawatoto nywelenzuri nywelenzurinimatunzo afyayanywelezako afyayanywele afyayanyweleyakokwanza afyakwanza

31/05/2026

Flat tummy tea with moringa
(Chai ya kupunguza tumbo)

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea
Carton zima 800,000 (100pcs)

zinasaidia

⚫️ kupunguza tumbo and nyama uzembe
⚫️ inaondoa gesi tumboni na kuvimba tumbo (Bloating )
⚫️ inapunguza appetite ya kula
⚫️ inasaidia mmeng’enyo wa chakula (digestion)
⚫️ ni detox zinasaidia kupunguza sumu mwilini

Jinsi ya kutumia
⚫️unatumia tea bag moja mara moja kwa siku jioni pekee
⚫️jitahidi kunywa maji mengi
⚫️ unaweza ongezea asali au sukari kidogo sana

Note:
⚪️Hii anaweza tumia mama anayenyonyesha pia

⚪️ni tea bags (majani ya chai) unatumia jioni

Zipo teabags 28

angalizo: asitumie mjamzito

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01

31/05/2026

Detox Flat tummy tea
(Chai ya kupunguza tumbo)

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea
Carton zima 800,000 (100pcs)

zinasaidia

⚫️ kupunguza tumbo and nyama uzembe
⚫️ inaondoa gesi tumboni na kuvimba tumbo (Bloating )
⚫️ inapunguza appetite ya kula
⚫️ inasaidia mmeng’enyo wa chakula (digestion)
⚫️ ni detox zinasaidia kupunguza sumu mwilini

Jinsi ya kutumia
⚫️unatumia tea bag moja mara moja kwa siku jioni pekee
⚫️jitahidi kunywa maji mengi
⚫️ unaweza ongezea asali au sukari kidogo sana

Note:
⚪️Hii anaweza tumia mama anayenyonyesha pia

⚪️ni tea bags (majani ya chai) unatumia jioni

Zipo teabags 28

angalizo: asitumie mjamzito

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01 (B1st-01)

28/05/2026

Energy tonic tea

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea

Unajisikia mchovu? Huna nguvu kazini au gym?
Jibu lako ni Wins Town Energy Tonic Tea!

Chai hii ya asili imetengenezwa kwa viambato vya nguvu k**a Cordyceps militaris na raspberry extract, kusaidia:
✔ Kuongeza nguvu mwilini
✔ Kuimarisha stamina
✔ Kupunguza uchovu
✔ Kukuongezea ufanisi kwenye kazi na mazoezi

Natural. Pure. Healthy.
Chukua hatua leo, jipatie Energy Tonic Tea kwa maisha yenye nguvu mpya!

Contact: +255754943471

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01 (B1st-01)

28/05/2026

Infection removal tea

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kaunzia 10 na kuendelea

Hii ni chai ya mitishamba inayosaidia kuimarisha kinga ya mwili na kusaidia mwili kupambana na maambukizi mbalimbali.

🌸inasaidia kuimarisha mfumo wa kinga ya mwili (immune system)
🌸inasaidia mwili kupambana na maambukizi ya bakteria, virusi na fangasi
🌸inapunguza uwezekano wa kupata maambukizi ya njia ya hewa k**a mafua na kikohozi
🌸inasaidia kupunguza ukali na muda wa maambukizi mwilini
🌸inasaidia mwili kuwa na nguvu na kujisikia vizuri zaidi wakati wa kuumwa
🌸inasaidia kukabiliana na changamoto za UTI au yeast infection kwa wanaume na wanawake wote kiujumla

Zipo tea bags 20

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01

28/05/2026

Hypertension Tea

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea

🌸inasaidia kurekebisha presha ya damu
🌸inasaidia mzunguko mzuri wa damu mwilini
🌸inatuliza mwili na kupunguza stress ambayo inaweza kuongeza presha
🌸inasaidia afya ya moyo
🌸Ina viambato vya mitishamba k**a hawthorn na astragalus vinavyojulikana kusaidia mfumo wa moyo na mishipa
🌸inasaidia mwili kujisikia mwepesi na wenye utulivu

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01

28/05/2026

Feedback ya FROZEN DETOX 2 IN 1 🔥🔥🔥

MWILI SAFI, NGOZI NYORORO

Rejareja: 30,000
Jumla
25,000 kuanzia 5
20,000 kuanzia 10 na kuendelea

Je, unakabiliwa na mwili mzito, tumbo kubwa, gesi, au ngozi yenye chunusi?

🌿 Frozen Detox 2 in 1 ni suluhisho lako la asili

🔥 FAIDA KUBWA ZA FROZEN DETOX 🔥

✅ Husafisha mwili – Hutoa sumu na taka mwilini
✅ Hupunguza uzito – Inasaidia kumeng’enya mafuta haraka
✅ Huondoa uvimbe wa tumbo – Hakuna tena hisia za uzito
✅ Huinua kinga ya mwili – Afya bora kwa muda mrefu
✅ Huimarisha ngozi – Husaidia kupunguza chunusi na mwonekano wa ngozi mbaya

📌 JINSI YA KUTUMIA:

💊 Kapsuli 2 kabla ya kulala na maji ya kutosha 🚰
💊 Chupa moja ina vidonge 60 – Matumizi ya mwezi mzima

💯 100% Asili | Salama & Bila Madhara | Hakuna Kemikali

🚀 Agiza Sasa! DM kwa maelezo zaidi 📩

Contact: +255754943471

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01 (B1st-01)

NaturalDetox HealthyLiving

26/05/2026

Blood Uric Acid Balance Tea

Rejareja: 20,000
Jumla
15,000 kuanzia 5
10,000 kuanzia 10 na kuendelea
Carton zima 800,000 (100pcs)

Contact: +255 754 943 471 au ‪+255 673 067 146‬

Duka lipo makumbusho bus stand jengo lenye ATM ya CRDB na NMB floor ya kwanza room B-01

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Makumbusho Stand
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 20:00
Tuesday 09:00 - 20:00
Wednesday 09:00 - 20:00
Thursday 09:00 - 20:00
Friday 09:00 - 20:00
Saturday 09:00 - 20:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafeherbs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.