Muzungu Cosmetics
Wauzaji Wa Bidhaa za Vipodozi Original Jumla na Rejareja, Tunapatikana Kariakoo Msimbazi A
β¨πΏ PRICE GLOW OIL πΏβ¨
unasumbuliwa na stretch marks, makovu, ngozi kavu au yenye rangi isiyo sawa? Sasa usijali! Price Glow Oil imeundwa kukusaidia kuifanya ngozi yako ionekane laini, yenye afya na yenye mngβao wa kuvutia.
π Faida za Price Glow Oil:
βοΈ Huondoa na kupunguza muonekano wa stretch marks.
βοΈ Huondoa na kupunguza makovu ya zamani na mapya.
βοΈ Hulainisha ngozi na kuondoa ukavu.
βοΈ Husaidia kufanya ngozi ionekane yenye mngβao na rangi inayofanana.
βοΈ Hufyonzwa haraka bila kuacha mafuta mengi juu ya ngozi.
βοΈ Inafaa kwa matumizi ya kila siku kwa wanaume na wanawake.
β¨ Ukiitumia kwa usahihi na kwa mwendelezo, ngozi yako itabaki ikiwa na unyevu na muonekano wa kuvutia.
π° Bei : TSh 35,000/=
βοΈcalls;0652134003
Price Glow Oil β Chagua kungβaa, chagua kujiamini! πΏβ¨
28/09/2026
β¨ BYNCE Vitamin C Body Cream & Serum
BYNCE Firming & Glowing V-C with Peptide + Collagen Body Cream π
Inasaidia:
* β¨ Kuifanya ngozi ionekane brighter & glowing
* π§ Kusaidia kuongeza moisture na softness
* πͺ Kusaidia ngozi ionekane firm na smooth
* π Vitamin C kusaidia kuipa ngozi mwonekano fresh
* 𧬠Peptide + Collagen kwa body care na smooth-looking skin
BYNCE Vitamin C Brightening Plus Serum π
Ina Vitamin C, Hyaluronic Acid, Glycolic Acid & Niacinamide, kwa kusaidia brightening, hydration na kuboresha texture ya ngozi.
π₯ BYNCE SET β kwa skin yenye glow, smoothness na fresh appearance.
β 0652134003
25/09/2026
DR.RASHEL MEN Beard Oil β Argan Oil + Vitamin E.
π§ Husaidia kukuza na kutunza ndevu na kuzifanya zionekane zenye afya.
πͺ Husaidia kuimarisha nywele za ndevu, hivyo kupunguza kukatika.
β¨ Hulainisha ndevu na kupunguza ukavu/ukakasi (frizz).
π§ Hulainisha ngozi chini ya ndevu na kusaidia kupunguza ngozi kavu inayochubuka.
π Husaidia kupunguza muwasho unaotokana na ukavu wa ngozi.
πΏ Ina Argan Oil + Vitamin E, zinazosaidia kutoa unyevunyevu na kulainisha nywele na ngozi.
Matumizi: Weka matone machache kwenye ndevu safi, kisha masaji hadi mafuta yasambae vizuri kwenye ndevu na ngozi chini yake. Unaweza kutumia kila siku.
Bei 15,000/= Tuu!
β 0652134003
BIKINI & BODY OIL ππΎπ₯
K**a huna Bikini & Body Oil, are you even serious with your skin? π
Hii ni lightweight oil yenye mafuta mepesi yanayopenya vizuri sana kwenye ngozi. Inasaidia kutone ngozi, kupunguza muonekano wa weusi, uneven areas na stretch marks, huku ikiiacha ngozi soft, smooth, moisturized na glowing. β¨
NAMNA YA KUTUMIA:
Ukitoka kuoga, wakati ngozi bado iko slightly damp, immediately apply Bikini & Body Oil. Unaweza kupaka bikini area, maeneo yenye weusi/stretch marks massage vizuri na mwili mzima.
Baada ya hapo, paka lotion /cream au an body oil on top. Use it consistently and you will LOVE your skin! π
Bei 35,000/=
β 0652134003
22/09/2026
The Purest Glow Glutathione & Amino Acid Whitening Shower Gel.
β¨ Husaidia kungβarisha ngozi na kuipa glow.
π€ Husaidia kupunguza mwonekano wa madoa na maeneo yenye weusi.
πΈ Husaidia kufanya rangi ya ngozi ionekane sawa.
π§Ό Husafisha ngozi na kuondoa uchafu na mafuta yaliyozidi.
π Ina exfoliating crystals, zinazosaidia kuondoa seli za ngozi zilizokufa na kuifanya ngozi iwe laini.
π§ Amino acids husaidia katika kutunza hali nzuri na ulaini wa ngozi.
Bei 25,000/=
β 0652134003
22/09/2026
OPAL GLOW Strong Whitening Face & Body Lotion.
β¨ Kungβarisha na kuifanya ngozi ionekane yenye glow.
π€ Kupunguza mwonekano wa madoa meusi (dark spots).
𦡠Kusaidia kusawazisha maeneo yenye weusi k**a magoti na vidole vya miguu.
πͺ Kupunguza mwonekano wa weusi kwenye mikono na miguu.
π Kusaidia kufanya rangi ya ngozi ionekane sawa (even tone).
π§΄ Kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu k**a lotion ya mwili.
Bei 50,000/=
β 0652134003
Yani wewe usiulize maswaliii OGAAAAAAAAAAAAAAAAAAAππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Nakupa routine ya bafu sasaaaaaaaaaβ¦β¦..
Uwe na scrub kati ya tumeric, shea sugar
Halafu uwe na showergel k**a honey, purest glow
Malizia molimix
Yani usipoglow mm najiuzuruuuuuuππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»ππ»
Ngozi nzuri inaanzia bafuni mylvs tena muwahiiiiiii vooooo
Bei 25,000/= Tuuu!
β 0652134003
Kwa wanaotaka ngozi yenye glow na mwonekano fresh, Egyptian Glow Set ni chaguo zuri!
Jipe skincare routine inayokufanya ujisikie confident na kuitunza ngozi yako kila siku.
Glow starts with good skincare
π 0652134003
VITAMIN E BODY OIL π§π§΄π§΄
Haya sio mafuta ya kawaida. π€π½ Ni rich in moisture, yana luxurious gel texture na yana-absorb vizuri kwenye ngozi, yakisaidia kulock moisture na kuifanya ngozi ibaki soft, smooth & plump kwa muda mrefu.
Yanasaidia ngozi yenye ukavu, yanaipa ile deeply moisturized, juicy, glossy & healthy glow β¨ na Vitamin E husaidia ku-nourish ngozi na kuifanya ionekane supple na youthful.
Pia ni perfect kwa maeneo yenye stretch marks, kwa kusaidia ngozi kubaki moisturized, elastic-looking na kuboresha muonekano wake over time. π€
Soft. Plump. Glossy. Moisturized. ALL DAY.
TZS 35,000/= Tuuuu!
β 0652134003
18/09/2026
Wins Town Collagen With Burn Powder
Ni supplement ya kunywa inayochanganya collagen na fat burner kwa ajili ya kuboresha ngozi na kusaidia kupunguza mafuta mwilini
Faida za Wins Town Collagen With Burn Powder
β
Hufanya ngozi kuwa imara na kupunguza dalili za uzee
β
Husaidia kupunguza mafuta na uzito(Metabolism)
β
Huimarisha nywele na kucha
β
Husaidia afya ya mifupa na joints
β
Hupunguza muonekano wa cellulite (Cellulite ni hali ya ngozi kuwa na mashimo madogo madogo (k**a ngozi ya chungwa), hasa kwenye:
* Mapaja
* Makalio
* Tumbo
π₯°Ni nzuri kwa mtu anayetaka kuwa na muonekano mzuri wa ngozi yako na mwili
Bei 45,000/=
β 0652134003
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
Msimbazi
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Muzungu Cosmetics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.
