Ali's Beauty Supply

Ali's Beauty Supply

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ali's Beauty Supply, Beauty, cosmetic & personal care, Bonde Street Kariakoo, Dar es Salaam.

04/07/2026

⚡️Lighten up body oil inasawazisha rangi ya ngozi isiyo sawa (uneven skin tone).
⚡️Hupunguza mwonekano wa madoa meusi (dark spots) na maeneo yenye hyperpigmentation.
⚡️kuboresha mwonekano wa ngozi iliyochoka au isiyo na mng'ao.
⚡️Ina viambato k**a Vitamin E na mafuta ya almond vinavyosaidia kulisha ngozi na kuimarisha ulinzi wake.
⚡️Inaboresha elasticity ya ngozi ili ionekane laini zaidi.
⚡️Inaweza kutumika baada ya kuoga ili kufungua unyevu kwenye ngozi na kuifanya ibaki nyororo siku nzima.

Tunauza jumla na reja reja bidhaa zetu ni original kutoka USA 🇺🇸,kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

30/06/2026

🍀Inasaidia kupunguza ukavu wa ngozi ya kichwa.
🍀Inapunguza kuwashwa kwa ngozi.
🍀Inalinda na kulainisha nywele zenye ukavu au damage.
🍀Kupunguza kukatika kwa nywele.
🍀Inafaa kwa kutunza nywele wakati wa mitindo k**a kusuka au styling kwa sababu inasaidia kulainisha nywele.

Bidhaa zetu ni original kutoka USA 🇺🇸, tunauza jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

30/06/2026

💫Olay Collagen Body Wash
🪷Inasaidia ngozi kuonekana laini na yenye unyevunyevu.
🪷Inaboresha mwonekano wa ngozi iliyokosa mng’ao.
🪷Hufanya ngozi ihisi imejaa unyevu na laini.
🪷Ngozi kuonekana yenye afya na elasticity nzuri.

💫Olay Niacinamide Body Wash
🪷Ina niacinamide (Vitamin B3) inayosaidia kuimarisha kinga ya ngozi.
🪷Inaboresha muonekano wa rangi ya ngozi isiyo sawa.
🪷Husaidia ngozi kuwa na mwonekano laini na wenye mng’ao.
🪷Inapunguza hisia ya ukavu kwa kusaidia kuhifadhi unyevu.

💫Olay Sugar + Cocoa Butter Body Wash
🪷Inasaidia kulainisha ngozi kavu.
🪷Cocoa butter husaidia kuongeza unyevu na kufanya ngozi ihisi laini.
🪷Sugar exfoliation husaidia kuondoa seli za ngozi zilizokufa juu ya ngozi.
🪷Inasaidia ngozi kuwa na mwonekano wa kung’aa.

💫Olay Rough Dry Skin Body Wash
🪷Imetengenezwa kwa ngozi yenye ukavu na ukakasi.
🪷Inalainisha sehemu zenye texture mbaya.
🪷Inaondoa hisia ya ngozi ngumu na kavu.
🪷Inarejesha unyevu wa ngozi.

💫Olay Retinol Body Wash
🪷Ina retinol inayosaidia kuboresha texture ya ngozi.
🪷Inasaidia ngozi kuonekana laini na yenye mwonekano mpya.
🪷Inapunguza muonekano wa ukavu na ukakasi.
🪷Inasaidia ngozi kuonekana yenye mng’ao zaidi.

Bidhaa zetu ni original kutoka USA 🇺🇸, tunauza jumla na rejareja, tunapatikana kariakoo mtaa Mafia /Bonde kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

18/04/2026

🌻kupunguza muonekano wa makovu ya zamani na mapya taratibu.
🌻Inaondoa alama za michirizi .
🌻kupunguza mabaka na kufanya ngozi ionekane yenye rangi inayofanana.
🌻Hufanya ngozi kuwa na uwezo wa kunyumbulika vizuri, hivyo kupunguza kulegea.
🌻Inatoa mwonekano wa ngozi yenye afya na kung’aa.
🌻inasaidia kufanya ngozi ionekane changa zaidi.
🌻ngozi kuwa laini na yenye unyevu muda mrefu.

Matumizi
⚡️Paka oil wakati ngozi bado ina unyevunyevu kidogo,
⚡️Weka oil kwenye kiganja, kisha sugua kwa mikono,
⚡️Maeneo maalum ya kuzingatia,
●Makovu (scars)
●Stretch marks (tumbo, mapaja, mikono)
●Ngozi kavu au yenye mabaka
⚡️Tumia mara 1–2 kwa siku (asubuhi na jioni).

Tunapatikana Dar es Salaam ;kariakoo mtaa wa bonde /mafia ,tunauza jumla na rejareja bidhaa zetu ni original
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

18/04/2026
08/04/2026

💥Rosemary oil kuongeza mzunguko wa damu kwenye ngozi ya kichwa, hivyo kuchochea ukuaji wa nywele mpya.
💥Hutoa unyevu wa kina (deep moisture) unaosaidia kuimarisha nywele na kupunguza breakage.
💥deep conditioner kurejesha afya ya nywele zilizoathiriwa na joto, kemikali au ukavu.
💥Peppermint oil hutoa hisia ya baridi na husaidia kupunguza muwasho na dandruff.
💥Inaimarisha mizizi ya nywele na kupunguza uwezekano wa nywele kudhoofika au kunyonyoka kirahisi.
💥Inafaa kwa aina nyingi za nywele,Iwe ni natural, relaxed au curly, inaweza kutumika kuboresha afya ya nywele.

💡 Jinsi ya kuitumia kwa matokeo mazuri:

💫Tumia baada ya shampoo.

💫Pakaa kwenye nywele zote (hasa mizizi hadi ncha).

💫Acha kwa dakika 15–30 (unaweza kutumia shower cap).

💫Suuza kwa maji safi.

Dar es salaam ;kariakoo mtaa wa mafia na bonde ,tunauza jumla na reja reja ,bidhaa zetu ni original kutoka USA🇺🇸 kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

08/04/2026

🌺Faida ya nywele;

💫kuimarisha nywele dhaifu na kupunguza split ends.
💫nywele huonekana zenye afya na mvuto.
💫hulisha mizizi ya nywele na kukuza nywele kwa haraka.
💫Kupunguza ukavu na kufanya nywele ziwe laini na rahisi kuchana.

🌺Faida ya mwilini;

💫Inapunguza mikunjo midogo.
💫Yanasaidia kuboresha muonekano wa ngozi.
💫Yanasaidia kwa ngozi kavu au iliyochoka.

Tunapatikana Dar es salaam ;kariakoo mtaa wa bonde na mafia kwa mawasilano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

31/03/2026

🌼 Inasaidia kunyoosha nywele ngumu na kufanya ziwe rahisi kuchana na kuset.
🌼Tea tree ina sifa ya kutuliza ngozi, hivyo hupunguza muwasho .
🌼Kuimarisha ngozi ya kichwa safi na yenye afya, hivyo kusaidia ukuaji mzuri wa nywele.
🌼Relaxer yenye tea tree mara nyingi huwa na viambato vya kulainisha vinavyosaidia nywele zisikauke sana.
🌼Hufanya nywele ziwe na mwonekano laini na wenye kung’aa.

🌺 Matumizi
⚡️Gawanya nywele
⚡️Paka vaseline kwenye ngozi ya kichwa kulinda
⚡️Paka relaxer kwenye nywele kwa usawa
⚡️Acha dakika 10–20 (kulingana na maelekezo)
⚡️Osha vizuri
⚡️Tumia neutralizing shampoo mara 2–3
⚡️Malizia na deep conditioner kisha mafuta au leave-in

⚠️ Onyo kuu
🔸️Usiache muda mrefu kichwani → inaweza kusababisha kuungua au kuharibu nywele.
🔸️Epuka kugusa ngozi moja kwa moja → husababisha muwasho na vidonda.
🔸️Usitumie kwenye nywele zilizoharibika sana → zinaweza kukatika zaidi.
🔸️Usichanganye na kemikali nyingine siku hiyohiyo (k**a bleach au dye).

es salaam ;kariakoo mtaa wa mafia /bonde bidhaa zetu ni original ,tunauza jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

27/03/2026

💥Inaondoa uchafu, mafuta (oil) na mabaki ya make-up bila kuharibu ngozi.
💥Ina viambato vya kulainisha (moisturizing agents) vinavyosaidia ngozi kubaki laini na yenye unyevu.
💥Kwa matumizi ya mara kwa mara, ngozi huonekana fresh, yenye mwanga na afya.
💥Inasafisha vizuri, hupunguza uwezekano wa kupata chunusi (acne).
💥Ni gentle, hivyo unaweza kuitumia asubuhi na jioni bila shida.

🌸 Note
✔️Inafaa kwa aina nyingi za ngozi (hasa normal hadi dry skin).
✔️Haina harsh chemicals nyingi zinazoweza kuharibu ngozi.
✔️Husaidia ngozi kujiandaa vizuri kabla ya kutumia toner au cream nyingine.

☆Tupo dar es salaam , kariakoo mtaa wa mafia na bonde ,bidhaa zetu ni original kutoka USA 🇺🇲 ,tunauza jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi kwa namba 0714868790.

27/03/2026

🍁Ina collagen, elastin ,Q10 na cocoa butter ambazo inasaidia kurejesha uimara wa ngozi.
🍁Inafaa kwa matumizi ya kila siku inafyonzwa haraka bila kuacha mafuta mengi juu ya ngozi.
🍁kuboresha elasticity ya ngozi, hivyo kuifanya ionekane imara zaidi hasa baada ya kupungua uzito au kujifungua.
🍁Cocoa butter na viambato vingine hulisha ngozi na kuifanya iwe laini na yenye afya.
🍁Hutoa mwonekano mzuri na wa kuvutia wa ngozi

📌 Matokeo yake:
Ukikitumia mara kwa mara, utaona ngozi inakuwa:
●Laini zaidi,
●Imara kidogo,
●Yenye afya na mng’ao mzuri.

es salaam ,tupo kariakoo mtaa wa mafia na bonde bidhaa zetu ni original kutoka 🇺🇲,tunauza jumla na rejareja kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi 0714868790.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Bonde Street Kariakoo
Dar Es Salaam