Skip to content
Salons10
Imela Organics

Imela Organics

Dsm, Dar Es Salaam Beauty, cosmetic & personal care

Vipodozi na dawa asilia zilizotengenezwa na viambato asilia,salama kwa ngozi aina zote, karibu kwa ushauri juu ya ngozi na nywele pia.

14/02/2018

Love you😍

12/02/2018

Good night😘

08/02/2018

SKIN SOLUTION has been doing great to my customer from Dodoma..chunusi zimekuwa kero kwako? usisite kututafuta tunakufikia popote ulipo Tz.

08/02/2018

Feedback kutoka kwa Mteja baada ya kutumia dawa yetu ya chunusi .asante dearest kwa kutuamini! Chunusi zimekua kero kwako? SKIN SOLUTION NDIYO KIBOKO YAKE.

05/02/2018

Ni muhimu Kuelewa unashughulika na ngozi ya aina gani kabla hujajua unachotakiwa na usichotakiwa kufanya kwa ngozi yako.

Ngozi yenye mafuta ina matundu makubwa na inazalisha mafuta mengi zaidi kwahiyo swala la hydration linaweza lisiwe ishu sana ila tatizo inaweza kuwa chunusi.

Watu wenye ngozi za mafuta wanakutana na changamoto ya un'gavu wa uso hasa maeneo ya paji la uso, puani na kushuka kidevuni.

Mafuta katika ngozi huweza kusababishwa na mabadiliko ya homoni, Vipodozi visivyo sahihi, kurithi, mlo, au matumizi ya dawa za aina fulani.

Mojawapo ya faida ya aina hii ya ngozi ni uwezo wa kuhifadhi unyevu hivyo ni nadra sana kutokea kwa mikunjo ( wrinkles) na inasemekana hazizeeki mapema.

03/02/2018

Mteja wangu huyu ameanza kutumia dawa ya "ACNE FREE"special kwa ajili ya ngozi yake ya mafuta...ntarudi kuwapa mrejesho baada ya muda hali ya ngozi yake ikoje.

02/02/2018

Tumia namba tatu za mwisho za simu yako kuona unahitaji nini na nini kuwa na furaha msimu huu wa valentine.👩🏽love,sex n travel for me, what about you???

01/02/2018

Je ngozi yako ni kavu au ina upungufu wa maji mwilini ( dehydrated)?

Ngozi inapokuwa kavu kwa kuingalia tu unagundua ngozi yako ni kavu. Lakini yawezekana ngozi yako Ina upungufu wa maji mwilini na hivyo inahitaji maji. maana yake nini?

Kwanza, kuna aina ya ngozi (skin type) na hali ya ngozi (skin condition). Aina ya ngozi ndiyo ile ambayo umezaliwa nayo/asili yako, inaweza kuwa kavu au ya mafuta. Hali ya ngozi yako, hatahivyo, inaweza pelekea kukumbana na matatizo mengine ya ngozi k**a chunusi na miwasho. Hii huweza kutokea kwa yeyote na kuwa hali ya kudumu ama ya muda mfupi.

Ngozi kuwa kavu maana yake inapungukiwa na mafuta. Yaani umezaliwa hivyo, ina maanisha ukavu huu unaonekana karibia sehemu zote za mwili wako k**a mikononi, miguuni, Katika ngozi ya kichwa ( scalp) n.k. hii ina maana hata ukitumia lotion au bidhaa zenye unyevu ( moisturizers) matokeo ni kwamba zinapotea kwa haraka sana kwenye ngozi na baadae kurudia hali yako k**a hujapaka kitu. Ikiwa umejionea haya kwako hakikisha unatumia bidhaa zenye mafuta au cream kila siku. (cream maana yake ni bidhaa zenye uzito tofauti na lotion zenyewe ni nyepesi) kinachotofautisha hapa ni consistency yake moja ni thick na nyingine ni light/watery.

K**a una upungufu wa maji katika ngozi yako , kwa Lugha nyingine ngozi yako inakosa maji. hii yaweza kuwa inasababishwa na matumizi ya makeup, mlo wako, bidhaa zisizo sahihi n.k. ngozi inapopungua maji inatengeneza mafuta mengi zaidi ili kujazia nafasi ya maji yaliyopungua.

Hii yaweza sababisha miwasho, chunusi, ukavu, ngozi kukatika katika yaani ngozi yaweza kuwa kavu na kuwa na mafuta Sana kwa wakati mmoja.

31/01/2018

Je umesumbuliwa n chunusi muda mrefu bila mafanikio? Tumekuletea tiba ya chunusi solution # n free # kwa ajili ya ngozi za mafuta,kavu n kawaida kwa sh 15000 tu.

Mikoani pia tunatuma.

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Imela Organics posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.