Tumbo Bora Wellness

Tumbo Bora Wellness

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tumbo Bora Wellness, Health/Beauty, MAKULU, Dodoma.

🌿 Tumbo Bora Wellness
💚 Elimu na ushauri kuhusu afya ya tumbo & digestion
✨ Gesi • Kufura • Choo • Digestion
🥗 Lishe | Lifestyle | Wellness
📦 Supplements & Wellness Support
📲 Wasiliana nasi kwa ushauri
0747272621

26/08/2025

TUNAPATIKANA DODOMA
HUDUMA ZETU.
🔥 VIPIMO
🔥USHAURI
🔥DOZI YAKO

Wasiliana nasi kwa huduma bora.
Call. 0717673132

28/06/2025

🔴 Kupitiliza Hedhi Miezi 2 au 3? Hiyo SIO KAWAIDA!

Kuchelewa kwa siku chache kunaweza kuwa kawaida kwa baadhi ya wanawake...
Lakini miezi miwili au mitatu bila kupata hedhi inaweza kuwa dalili ya:
✔️ Matatizo ya homoni
✔️ Uwezekano wa ujauzito
✔️ PCOS (uvurugwaji wa mayai)
✔️ Msongo wa mawazo au uzito kupita kiasi
✔️ Uvimbe kwenye kizazi

Usikae kimya au kusubiri tu ije yenyewe.
Ni muhimu kuchukua hatua mapema! 🩺

👉 Ulipoona hali hii ilianza, ulifanya nini? Tuambie kwenye comment 💬 au DM kwa ushauri zaidi.
Mawasiliano. 0717673132

26/06/2025

🩷 Unatamani kubeba ujauzito lakini imekuwa ngumu?
(Emoji: 🤰❓)

💚 Unaweza ukawa unafanya kila kitu sahihi.....lakini mwili wako hauna msaada wa kutosha! 🧬

🤍 Ili mimba ishike kwa urahisi,
mwili wa mwanamke unahitaji virutubisho sahihi. 🌱

🩷Virutubisho huimarisha:
✅ Homoni
✅ Mzunguko wa hedhi
✅ Ujenzi wa mji wa mimba

💚Usiache mwili upambane peke yake.
Mpatie msaada anaohitaji. 💊✨

🤍 Nataaka nikuonyeshe virutubisho vinavyosaidia wanawake wengi kushika mimba kwa urahisi.
👉 Niandikie "VIRUTUBISHO" sasa.
Call. 0717673132

23/06/2025

Karibu Ofisini Tukuhudumie Vipimo, Ushauri ma Dozi
Call. 0717673132

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dodoma?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Address


MAKULU
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tumbo Bora Wellness posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dodoma.